Mlevi mmoja kakutwa na mwalimu anakojoa maeneo ya shule. Mazungumzo yao yakawa hivi. Mwalimu; kwanin unakojoa hapo, Soma hilo bango linasemaje? Mlevi; linasema usikojoe hapa. Mwalimu; sasa wewe kwann umekojoa? Mlevi; kutoka moyoni, haki ya mama nilijua ni jina la shule. Jaman ungekuwa ww ndiye mwl ungemfanyaje?