Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Namaanisha nipo na dingi yako hapa, he is my best friendNajua uliandika Dady nimeuliza ulimaanisha nini?
Namaanisha nipo na dingi yako hapa, he is my best friendNajua uliandika Dady nimeuliza ulimaanisha nini?
Bombardier iwe nzur hivyo waringe [emoji12] [emoji12]Wataedit kuwa hiyo ndege ni bombardier. ..
Namaanisha nipo na dingi yako hapa, he is my best friend
ha ha nimependa basi looking!! hatari sana😀Seen[emoji5]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku nyingine ukiwa hivyo usinitaarifu kwasababu huwa sipendi kufatilia habari za wazazi wangu ni kukosa adabu na heshima kufanya udaku kwa wazazi.
Shkamoo.
bahati yako kimeo changu hakina emoj.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naendelea, utadhani nina mitihani ya semester nilivyo na vitabu vingi. Lakini nimejifunza sana kuhusu dini, Siku Nikija öna Hindu Muslim na Christian, na dini zote nisizozijua wanagombana kwa kweli nitapita mbali.Natumai unaendelea sana. Kigezo cha kwanza muhimu sana ni kupata tranquillity of the mind
Endelea kusoma zaidi kuna mengi bado ya kujifunza na mwisho utakuja kugundua kuwa dini na imani ni vitu very personalNaendelea, utadhani nina mitihani ya semester nilivyo na vitabu vingi. Lakini nimejifunza sana kuhusu dini, Siku Nikija öna Hindu Muslim na Christian, na dini zote nisizozijua wanagombana kwa kweli nitapita mbali.
Wakichora tu yuleWataedit kuwa hiyo ndege ni bombardier. ..
Ndicho nilichokiona ni vitu personal kabisa, kuna kitabu kinaitwa BODY, MIND and SOUL kimenifungua sana baada ya kukisoma, nimejikuta naielewa bible ki undani zaidi, THE TAO pia na vingine.Endelea kusoma zaidi kuna mengi bado ya kujifunza na mwisho utakuja kugundua kuwa dini na imani ni vitu very personal
You got it right...! Soma na ANALECTS! way n it's powersNdicho nilichokiona ni vitu personal kabisa, kuna kitabu kinaitwa BODY, MIND and SOUL kimenifungua sana baada ya kukisoma, nimejikuta naielewa bible ki undani zaidi, THE TAO pia na vingine.
Marahaba, umemaliza kwenye vigodoro? Au ndo hapo ulipatia ajali?Shikamoo dada