H.M.MUYANGO
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 110
- 9
Ninaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina ugonjwa wa kutoheshimu Demokrasia? Sosopi ni Mchunga ng'ombe na Msigwa ni Mchungaji wa kanisa bado hamjajua mshindi nani? Poleni Sana pilato wenu ataamua ugomvi.
DEMOKRASIA NI MSINGI WA CHAMA CHA ACT PEKEE:
Ulikuwa unamjua Ado Shaibu(Katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi Taifa)? Ni kijana na Sura mpya inayochomoza katika siasa za Tanzania.
Uliwategemea akina Edna Sunga? Anna Mghwira? Ester Kyamba? na wanawake hodari katika siasa mpya za hoja Tanzania?
Mbali na Zitto Kabwe mnayemfahamu vizuri je? Mlitegemea kuwa kwa umaarufu wa Moses Machali aliyehamia ccm kwanini hakuwa na Cheyo kikubwa ACT? Aliongozwa kwenye Ngome ya vijana na vijana wapya Licapo Bakar,Edna Sunga, na wengine.
Habibu Mchange na wanachama maarufu wengi wapo ACT na wanaongozwa na katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi ngazi ya Taifa ambaye ni kijana Ado Shaibu ila hakuna FIGISUFIGISU kwakuwa Demokrasia ni msingi wa Chama cha ACT wazalendo.
Nyinyi hata kwenye uteuzi ni FIGISUFIGISU,kwenye uchaguzi wa Chama FIGISUFIGISU,Kashafa kibao zikiwemo rushwa,na ubaguzi wa ukabila na ukanda.
INGEKUWA MOSES MACHALI AMEHAMIA CHADEMA ANGEPEWA UKURUGEZI NDANI YA CHAMA ILA ACTwazalendo unapewa au kuungwa mkono kwa majukumu utakayo yamudu iwe uteuzi au katika Uchaguzi wa Chama.TULICHAGUA DEMOKRASIA,SIASA ZA HOJA NA KUACHANA NA GENGE LA PILATO MBOWE.
Zingatia kuwa Kama wakuu wa Chama wanakuwa wakwanza kuminya Demokrasia ndani ya Chama ya MSINGWA NA SOSOPI sio ya ajabu kwamba tayari mshindi yupo mifukoni mwa MBOWE.
KARIBUNI TUJENGE CHAMA CHA UPINZANI KITAKACHOKUWA CHETU WANACHAMA SIO CHA MTU AU KIKUNDI CHA WATU.
Vipi ukijibu hoja badala ya kulaumu? You're a great thinkerunatapatapa tu hakuna jipya unalotaka kuleta
Hivi mbowe ameshalipa madeni yake ya nhc na lile la Twigs bank??Vipi hali ya uchumi?
Kichwa cha habari hakishabiani na yaliyoandikwa
Nadhani umeyaelewa yaliyo andikwa ila kichwa hakishabiani ni kosa la kiufundi ila Ujumbe umeupata naomba uuelewe.Kichwa cha habari hakishabiani na yaliyoandikwa
Muulize Mnyika kile chama alichokuwa anakifuata nyuma nyuma na kuwapotosha wananchi wasikipokee kila kilipo pita kufanya ziara wakati kinatambulishwa katika nchi ya Tanzania.Act ni nini?
Kumbe!~~~>>>>Kanda ya Nyasa hawataki kuongozwa na mtu wa Kaskazini....
ujingamtupuNinaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina ugonjwa wa kutoheshimu Demokrasia? Sosopi ni Mchunga ng'ombe na Msigwa ni Mchungaji wa kanisa bado hamjajua mshindi nani? Poleni Sana pilato wenu ataamua ugomvi.
DEMOKRASIA NI MSINGI WA CHAMA CHA ACT PEKEE:
Ulikuwa unamjua Ado Shaibu(Katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi Taifa)? Ni kijana na Sura mpya inayochomoza katika siasa za Tanzania.
Uliwategemea akina Edna Sunga? Anna Mghwira? Ester Kyamba? na wanawake hodari katika siasa mpya za hoja Tanzania?
Mbali na Zitto Kabwe mnayemfahamu vizuri je? Mlitegemea kuwa kwa umaarufu wa Moses Machali aliyehamia ccm kwanini hakuwa na Cheyo kikubwa ACT? Aliongozwa kwenye Ngome ya vijana na vijana wapya Licapo Bakar,Edna Sunga, na wengine.
Habibu Mchange na wanachama maarufu wengi wapo ACT na wanaongozwa na katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi ngazi ya Taifa ambaye ni kijana Ado Shaibu ila hakuna FIGISUFIGISU kwakuwa Demokrasia ni msingi wa Chama cha ACT wazalendo.
Nyinyi hata kwenye uteuzi ni FIGISUFIGISU,kwenye uchaguzi wa Chama FIGISUFIGISU,Kashafa kibao zikiwemo rushwa,na ubaguzi wa ukabila na ukanda.
INGEKUWA MOSES MACHALI AMEHAMIA CHADEMA ANGEPEWA UKURUGEZI NDANI YA CHAMA ILA ACTwazalendo unapewa au kuungwa mkono kwa majukumu utakayo yamudu iwe uteuzi au katika Uchaguzi wa Chama.TULICHAGUA DEMOKRASIA,SIASA ZA HOJA NA KUACHANA NA GENGE LA PILATO MBOWE.
Zingatia kuwa Kama wakuu wa Chama wanakuwa wakwanza kuminya Demokrasia ndani ya Chama ya MSINGWA NA SOSOPI sio ya ajabu kwamba tayari mshindi yupo mifukoni mwa MBOWE.
KARIBUNI TUJENGE CHAMA CHA UPINZANI KITAKACHOKUWA CHETU WANACHAMA SIO CHA MTU AU KIKUNDI CHA WATU.
Kunywa maji Mengi kijanaNinaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina ugonjwa wa kutoheshimu Demokrasia? Sosopi ni Mchunga ng'ombe na Msigwa ni Mchungaji wa kanisa bado hamjajua mshindi nani? Poleni Sana pilato wenu ataamua ugomvi.