PostGE2025 Msigwa: Msibeze uandishi wangu mimi ni 'Field Journalist' ningekuwa vitani 'Field Marshal'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
“Kuna watu fulani sikuhizi mbili tatu walikuwa wanabeza uwandishi wangu wa Habari Mimi ni Mwandishi wa Habari hasa Tena Field Journalist nimefanya Makubwa nchini ingekuwa Jeshini Vitani ningekuwa FIELD MARSHAL”

Labda tujiulize uandishi wa habari wa kuwajibika (responsible journalism) nini?

Uandishi wenye uwajibikaji ni kufanya kazi ya habari kwa kuzingatia maadili, kwa kuweka mbele ukweli, usahihi, uhuru, haki, kutokupendelea na kupunguza madhara. Unahusisha kuthibitisha taarifa, kutoa muktadha, na kuwa wazi kwa hadhira kuhusu vyanzo na uwezekano wa mgongano wa maslahi, sambamba na kurekebisha makosa kwa uwazi na kwa uaminifu.
=======
Responsible journalism is the practice of ethical reporting that prioritizes truth, accuracy, independence, fairness, impartiality, and minimizing harm. It involves verifying information, providing context, and being transparent with the audience about sources and potential conflicts of interest, while also correcting mistakes openly and sincerely.
 
IMG-20251123-WA0104.jpg
 
Amewahi kujiuliza kwanini anabezwa badala ya kusifiwa na kupongezwa?
 
Uchwara tu!
 
Tupeni location nyumbani kwake ili dec9 tukaisalimie familia yake
 
Uharoooooooo mtupuuu
 
Yaani wewe kwa akili yako unataka kusema CNN waitangaze SGR? Hivi wewe upoje?Unajua maana ya habari wewe. SGR imefanya nini? Kweli mna akili za kitanzania, elimu duni ya kujifunza panya ana miguu mingapi, au panzi ana mabawa aina gani? Pathetic! Kumbe unajua kuna maiti za wananchi wa Tanzania huko Police? Zinafanya nini? Mbona ndugu hawajaitwa kutaarifiwa juu ya wapendwa wao? Kuna shida hapo wewe Msigwa.
 
Back
Top Bottom