mbatombato
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 441
- 245
Ni kweli picha zime expire maana sasa hivi sura za jamaa wote waliopo hapo pichani zina makunyanzi na idadi ya mikunjo imeongezeka.Hizi picha zako zime expire tayari njoo na habari mpya ndio utaeleweka kwa watanzania
Mbona wewe ulipo hujapimwa baado
TOR za kazi zako ni lazima umtaje Lowassa. Kikao cha CCM kila aliyesimama alimtaja Lowassa. You have nothing els3 to discuss. Tueleze3 ni kwa nini Mwakyembe alificha sehemu ya ripoti ya Richmond kwa kisingizio nchi ingetikisika. Kwa nini Richmond ndiyo Symbion tena iliyozinduliwa na Obama. Lizabon, mtoto mpumbavu ni hasara kwa mama yakemHahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Inaelekea wewe ni bingwa wa mkorogoNi kweli picha zime expire maana sasa hivi sura za jamaa wote waliopo hapo pichani zina makunyanzi na idadi ya mikunjo imeongezeka.
Lakini cha kustaajabisha MANENO YAO BADO YAPO KAMA YALIVYO.. still fresh as was...
We jamaa unaaminigi vya kusadikika mpaka umeathirika kisaikolojia..Kwakuongea kweli
Umepotea njia! Mada hoja iliyopo ni msigwa kutaka rais auze ikulu kwanza, hilo la maandamano sijaliona, au labda unaweza kutuonesha wapi mwandishi amegusia suala la maandamano?Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu?
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Sasa unawezaje kutaja neno Dhambi bila kuanza na "Dha"Bila kumtaja Lowassa huingizi siku wewe
"HAWA WALISHAUZWA KWA BEI YA JIONI WAKANUNULIKA"Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu?
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
I hope lazma imekugonga kwenye medula maana kiasi ume drift off the rail..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anachapwa yeye maana uzuri wa nyumba siyo rangi
Kwa kuwa wewe ni mjinga umechukulia ukuta kama noun. Hopeless kabisa.Kweli chadema uwezo wao wa kufikiri umefika ukingoni. No wonder wanakaa kikao kwa siku nne mfululizo wakiongelea ukuta.
Bora Slaa alijiengua.
Inaelekea we jamaa una wivu kinooma..Lowasa tangu alivyokubwaga basi wewe ni mihasira naye tu
atauziwa fisadi kikwete na riz1Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Jina lake linaakisi uwezo wake wa kufikiri- konda wa bodaboda. What else can you expect from such a nincompoop? Nothing more that what is written. Trash!Umepotea njia! Mada hoja iliyopo ni msigwa kutaka rais auze ikulu kwanza, hilo la maandamano sijaliona, au labda unaweza kutuonesha wapi mwandishi amegusia suala la maandamano?
Nikweli alitukuna sana enzi za ujana wake.. mpaka karibia angeondoka na ngozi..Sasa inaonyesha wazi Lowassa amewakuna sana
Wewe umeshafanya mangapi??Huyu jamaa anatoa kauli za maajabu sana leo fyokofyoko, kuhakiki, Sukari, bandari, mishahara hewa na kuhamia dodoma lakini hakuna hata moja la maana alilolifanya. Huyu anatupotezea muda tu lakini nchi hii ipo taabani.
Sijawahi kusikia au kuona mwanachama aliyejitoa kwenye chama chake cha awali akawaumiza roho waliobaki kama Lowasa! Wanaumia kiasi kwamba wanamchafua kwa kila ubaya. Mzee Wa watu kaitwa Mgonjwa tena magonjwa mabaya hakutia neno. Anatajwa hata asipohusika. Pole Mzee Lowasa Karma itajipa one day.Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Akinunua au hasiponunua wewe bwana lizaboni inakuhusu nini ?Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?