Msigwa: Asilimia 80 ya wabunge hawafai

Msigwa: Asilimia 80 ya wabunge hawafai

Mbunge wa Iringa Mjini-CHADEMA,Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa asilimia 80 ya wabunge walioko bungeni kwasasa hawakupaswa kuwepo hapo. Msigwa amedai wabunge wengi wana akili ndogo alioufananisha na GB 1.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa Mwananchi Communications. Zaidi ni ukurasa wa 2 Mwananchi.

Kwa vyovyote vile Mch. Msigwa atakuwa amewajumuisha wajumbe wa bunge la kitiba, wiliopitisha kaiba iliyo andikwa na Nyoka Makengeza aka Chenge.
 
Hivi wale waliyopo kule na kupiga hela na sie tunaolalamika tu humu kila siku ni nani mjinga?
Huyo Msigwa mwanzoni alikuwa anapiga vikelekele sasa hivi katulizwa na Lazaro hatumsiki tena akimpigia kelele.
 
Mbunge wa Iringa Mjini-CHADEMA,Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa asilimia 80 ya wabunge walioko bungeni kwasasa hawakupaswa kuwepo hapo. Msigwa amedai wabunge wengi wana akili ndogo alioufananisha na GB 1.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa Mwananchi Communications. Zaidi ni ukurasa wa 2 Mwananchi.

Ni kweli 80% ya wabunge hawafai, akiwemo na yeye mwenyewe!
 
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema zaidi ya asilimia 80 ya wabunge waliopo bungeni sasa hawakustahili kuwa wabunge kwa sababu baadhi yao wana uwezo mdogo kiakili alioulinganisha na GB moja ya kompyuta.

“Wabunge wengi hawamuelewi Tundu Lissu, kwa sababu vichwa vyao vina ‘GB’ moja za ubongo. Sasa ‘kucontain’ (kukusanya) mambo yote yale ya Bunge, kichwa kinapata moto na ili kupata majibu rahisi, wanasema ni (Lissu) kichaa, maana hawawezi kufikiri kiwango kile kutokana na akili yao kuwa ni ndogo sana,” alisema Msigwa bila kutaja majina ya wabunge hao.

“Wengi wao wamekaa kaa tu, hawawezi kusema lolote, wabunge wengine tunaposafiri nao, tunashuhudia mambo ya aibu tupu. Wengi wanakuwa kama mabubu, wamekaa kaa tu, hawasemi chochote, hawana michango yoyote, wanasubiri kufanya ‘shopping’ tu kana kwamba wamekwenda kwa ajili hiyo,” alisema Msigwa.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri alipotembelea ofisi za Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, Tabata Relini, Dar es Salaam jana.
 
Kati ya kauli pendwa toka kwa Mb Msigwa leo ipo kwenye Paragraph ya mwisho.

“Wabunge wengi hawamuelewi Tundu Lissu, kwa sababu vichwa vyao vina ‘GB’ moja za ubongo. Sasa ‘kucontain’ (kukusanya) mambo yote yale ya Bunge, kichwa kinapata moto na ili kupata majibu rahisi, wanasema ni (Lissu) kichaa, maana hawawezi kufikiri kiwango kile kutokana na akili yao kuwa ni ndogo sana,” alisema Msigwa bila kutaja majina ya wabunge hao.

Alisema mbunge anapaswa kuwa na uwezo wa kujieleza, kuelewa mambo, kusoma mambo mengi, akisisitiza kuwa kwa ilivyo sasa ni kama asilimia 20 ya wabunge wote, ndiyo wenye sifa na uwezo wa kujadili mambo.

“Wengi wao wamekaa kaa tu, hawawezi kusema lolote, wabunge wengine tunaposafiri nao, tunashuhudia mambo ya aibu tupu. Wengi wanakuwa kama mabubu, wamekaa kaa tu, hawasemi chochote, hawana michango yoyote, wanasubiri kufanya ‘shopping’ tu kana kwamba wamekwenda kwa ajili hiyo,” ...
 
ukweli umepata msemaji, hongera Msigwa. Kusema ukweli ni karama kutoka kwa mungu, itumikie kaka
 
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema zaidi ya asilimia 80 ya wabunge waliopo bungeni sasa hawakustahili kuwa wabunge kwa sababu baadhi yao wana uwezo mdogo kiakili alioulinganisha na GB moja ya kompyuta.

“Wabunge wengi hawamuelewi Tundu Lissu, kwa sababu vichwa vyao vina ‘GB’ moja za ubongo. Sasa ‘kucontain’ (kukusanya) mambo yote yale ya Bunge, kichwa kinapata moto na ili kupata majibu rahisi, wanasema ni (Lissu) kichaa, maana hawawezi kufikiri kiwango kile kutokana na akili yao kuwa ni ndogo sana,” alisema Msigwa bila kutaja majina ya wabunge hao.

“Wengi wao wamekaa kaa tu, hawawezi kusema lolote, wabunge wengine tunaposafiri nao, tunashuhudia mambo ya aibu tupu. Wengi wanakuwa kama mabubu, wamekaa kaa tu, hawasemi chochote, hawana michango yoyote, wanasubiri kufanya ‘shopping’ tu kana kwamba wamekwenda kwa ajili hiyo,” alisema Msigwa.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri alipotembelea ofisi za Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, Tabata Relini, Dar es Salaam jana.

Kwel kabxa msigwa
 
Katika wabunge waliopita kwa bahati mbaya ni huyu mchugaji, wakati tunajua kwamba kura ya chuki na hasira za wana CCM dhidi ya mgombea ambae si chaguo lao ndio uliompa ushindi huyu Msingwa Safari yake imefika mwisho
 
Jamani nawakumbusha tena baada ya kifo kuna maisha tena so kumbukeni kumpokea Yesu maana ye ndo njia ya KWELI na UZIMA
 
Naunga mkono hoja,wanajua kujadili ongezeko la posho zao tu
 
Mbunge wa Iringa Mjini-CHADEMA,Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa asilimia 80 ya wabunge walioko bungeni kwasasa hawakupaswa kuwepo hapo. Msigwa amedai wabunge wengi wana akili ndogo alioufananisha na GB 1.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa Mwananchi Communications. Zaidi ni ukurasa wa 2 Mwananchi.

Yeye mwenyewe hata msigwa mb 20 hafiki amekua rafiki wa nyalandu kwa sababu waniba wote kwa pamoja
 
Katika wabunge waliopita kwa bahati mbaya ni huyu mchugaji, wakati tunajua kwamba kura ya chuki na hasira za wana CCM dhidi ya mgombea ambae si chaguo lao ndio uliompa ushindi huyu Msingwa Safari yake imefika mwisho

Hahaaaa asilimia kubwa ya wabunge wa ccm na wakereketwa wao vichwa vya vina mb 3tu hiyo nane kawapendelea.
 
Back
Top Bottom