Msigwa: Asilimia 80 ya wabunge hawafai

Msigwa: Asilimia 80 ya wabunge hawafai

Wabunge karibu wote wa ccm akili zao ni ziro
 
Mibunge ya CCM Karibu yote inashinda kwa nguvu za giza,usitegemee mtu wa namna hiyo awe na uwezo mzuri wa kufikiri..
 
Wataalam wa it waje watuambie ulinganisho wa akili za binadamu na gb je upo ? Isije kuwa story za msimu wa ulanzi huko iringa huwa kuna imani kuwa uchawi wa tanzania ni ukurasa mmoja tu wa uchawi wa congo tuliouiba congo
 
Mbunge wa Iringa Mjini-CHADEMA,Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa asilimia 80 ya wabunge walioko bungeni kwasasa hawakupaswa kuwepo hapo. Msigwa amedai wabunge wengi wana akili ndogo alioufananisha na GB 1.

Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa Mwananchi Communications. Zaidi ni ukurasa wa 2 Mwananchi.

Msigwa hata shule ilimshinda akakimbilia kukalilo mistar ya bible
 
Dah! mwenyewe huyo msigwa huyo ni empty mind huyo ajui kitu
 
Last edited by a moderator:
Nikweli asee. Jana nimesikiliza michango yao kwenye bill
 
Lugha ya siasa inachekesha sana. Ila kweli kuna wabunge hawawezi hata kutoa mchango wa kueleweka. Wengi wanaongozwa na hisia nakudandia hoja za watu. Wabunge wetu wana mapungufu yafuatayo;
  1. wavivu kusoma
  2. kama wanasoma, ni wagumu kujua pointi ni ipi na nini kifanyike.
  3. wanajitia kujua kila kitu. Hawataki kujishusha ili waeleweshwe na ndio maana Msigwa anasema wanashindwa kumuelewa Lissu.
  4. wanadhani kusimama bungeni na kuongea chochote ni sifa. Sifa ni kutoa mchango wenye maana.
Mimi nina Imani Msigwa anatrudi Bungeni kwasababu Mwakalebela sasa ni mkuu wa Wilaya hawezi kugombea. Huyo kauwawa kama walivyomuua Dr. Kadeghe!
 
Msigwa kaongea ukweli kabisa wanairinga mlichagua mtu sahihi.
 
na hata wana jf na wenyewe ni v bites manake mmekuwa brain washed na siasa za mkumbo.
as the matter of facts sikuona hata umuhimu w akuleta uzi kama huu hapa manake yeye mwenyewe alosema ni miongoni mwa hao mapoyoyo so why should we wast our time discussing people?

this kinda of simple minds
as GT lets discuss ideas

Sasa ndio umeongea nini we mama? Afrika bwana
 
Back
Top Bottom