Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Msigwa mwenyewe ni MB 8.
Nyoka Mwenye makengeza anangapi?
Msigwa mwenyewe ni MB 8.
Wewe ni 2 MBMsigwa mwenyewe ni MB 8.
yule aliyemwaga segere siku katiba ya chenge ilipopita yeye ana ngapi wakuu??
Msigwa, Lema, Sugu, wenje, etc hao wanatupotezea muda wetu tu!
yule aliyemwaga segere siku katiba ya chenge ilipopita yeye ana ngapi wakuu??
Msigwa mwenyewe ni MB 8.
Lusinde yuko kwenye kB
Mbunge wa Iringa Mjini-CHADEMA,Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa asilimia 80 ya wabunge walioko bungeni kwasasa hawakupaswa kuwepo hapo. Msigwa amedai wabunge wengi wana akili ndogo alioufananisha na GB 1.
Mchungaji Msigwa alikuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa Mwananchi Communications. Zaidi ni ukurasa wa 2 Mwananchi.
yeah, just like lema, sugu, maji marefu etc
Msigwa mwenyewe ni MB 8.
Msigwa harudi bungeni
Lusinde ana 1 byteKuna wengi hata GB 1 hawafikii,kama lusinde ni MB 250.
Msigwa ni 3 TerabyteYeye mwenyewe ni mb 8
Kuna wengi hata GB 1 hawafikii,kama lusinde ni MB 250.[/QUOTE
Rasimu ya katiba ya Warioba ilikuwa inatuondolea hawa vilaza kwenye bunge kwa kupandisha viwango vya elimu hitajika kwa wale ambao wangeomba kuwa wabunge; lakini hawa magamba katika Rasimu yao iliyotungwa na fisadi Chenge wanapendekeza mtu awe na elimu ya darasa la nne ili mradi ajue kusoma na kuandika!!! Siku hizi elimu ya Form four ndio minimum qualification ya muhudumu ofisini na mtu yeyote anayeomba kazi ya kuwa dereva; sasa haingii akilini kuwa qualifications za kuwa mbunge ziwe chini kuliko qualifications za muhudumu wa ofisini!! Magamba wanafanya njama zote hizo ili kuwa na wabunge illiterate ambao watafanikisha kupitisha miswada yao bungeni ya kifisadi kiurahisi at the expense of national dvelopment!. Chama cha Magamba chini ya uongozi wa DHAIFU wanapenda kutawala kwa gharama yeyote ile lakini hawaipendi nchi hii na maendeleo yake na ndio maana wanaifisidi.