MSIGWA apata dhamana

MSIGWA apata dhamana

fikra za mageuzi zitaenea pande zote za nchi hii,sijui magamba watakimbilia wapi.
 
matusi ni chakula chako nini? sijawahi kuona umepost mada yoyote humu isipokuwa matusi, sasa ukitwa Mbwa kweli utakuwa umekosewa.

hilo kwani ni tusi? huyo aliyeeuliza mkewe ni polisi sasa si ndio atajua vizuri kwa nn msigwa hakufungwa pingu, niite mbwa au whatever sibadiliki kuwa mbwa ila sitaacha kukosoa wanaoleta michango ya hovyo hovyo hapa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom