omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
alichokuwa/anachoongelea ni kweli tupu sema kuna watu wameshaset vichwa vyao kukataa chochote mradi 'mkuu kasema kataa'.
Ingelikuwa mbaya kama wangekamatwa wamachinga pekee maana propaganda zingeenea kuwa "yeye yuko anatesa na amewadanganya nyie mnapata shida". Huo ndio mfano wa kutetea wanyonge maana ukitetea mafisadi daima utalala Kempiski na kwingineko na sio polisi/magereza