MSIGWA apata dhamana

MSIGWA apata dhamana

mmeshazoea maccm tabu za masikini ni zao huwa mnakaa mbali saaana...hamjawahi kutetea haki zao au hata kulala selo kwa ajili yao
Kawaponza wenzake, kesho anakwenda kula bata DOM wao wanajificha ndani kama wametoka jando.
 
hizi kebehi za makatuni na watoto wapumbavu..acha utoto hata ukikebehi kebehi vitu vyenye mashiko co
SLAA asikusikie, ana kadi ya CCM wewe, pale CDM anganga njaa, chezea mil.12 kwa mwezi wewe.
 
naungana na wenzangu kuwa watu wa iringa tuamke, tutanyanyaswa hadi lini msemo wa kusema SWELA HELA umepitwa na wakati, funua blanketi hilo
 
Msigwa hakuna cha kusema unamwachia mungu, Mungu mwenyewe kashawachoka ccm ndy maana maafa kila siku
 
Kulikuwa hakuna ujanja , Dhamana ilifahamika kuwa Wazi bila Zengwe !
 
Hawa polisi nao....wanatumia miguvu kukamata watu na baadaye wanapata dhamana na kurudi jukwaani na kesi inabaki kutajwa tu....wanasafirisha bhange kwa kutumia usafiri wa geshi lao...wanapiga mabomu wavuta bangi karibu na nyumba za ibada...halafu wanatangaza kutii sheria bila shurti....wanataka ulinzi shirikishi wakati hawataki kushiriki...swali, polisi wa mataifa mengine nao wako hivi au ni watz tu?

Yan ni bora ya sungusungu enzi za mrema kuliko police/ulinzi shirikishi wa sasaaaaaaaaaaa

Kamuhanda kutolewa pale ni ndoto, kwani ni mengi anayajua ya baba yetu.
 
Yan ni bora ya sungusungu enzi za mrema kuliko police/ulinzi shirikishi wa sasaaaaaaaaaaa

Kamuhanda kutolewa pale ni ndoto, kwani ni mengi anayajua ya baba yetu.

Hakuna sehemu kawai kuongoza mtu wa dini ya IGP kutakuwa na mafanikio....
 
Ukimbizwe wewe huko sio mbunge wetu sisi tunampenda sana na hayo ndiyo tunayomtuma ndio maana leo tumempokea kama chief mkwawa huyo ni mfalme wetu kaka nyinyi endeleeni na hao wanaounga mkono hoja kwa asilimi mia kila siku.
huyu badala ya kumrudisha mtaani wangemkimbiza mirembe faster.
 
kigoda kasema machinga wasisumbuliwe katika nchi hii chanzo itv dakika 45
 
mmmmmhhhh! polisi bwana!
napita
IMG_4822.JPG
 
Mwenyezi MUNGU yuu upande wako msigwa wala usihofu.

MBONA MIJI MINGINE MFANO DODOMA,SHINYANGA NA SUMBAWANGA WAMACHINGA WAMEJAA TELE KILA KONA..MBONA HAWAONDOLEWI??KULIKONI IRINGA MJINI AU NDO SIASA ZA MAJI TAKA?

majimbo ya Chadema ndiko ambako wamachinga wanasumbuliwa kwa kuchagua upinzani ili wakome
 
Jamani, hii nini?tunakwenda wapi na tupo wapi?Jamani hivi mbona waziri wa Viwanda na biashara alisha liongelea Hili?Tatizo sio kufukuza wafanya biashara wadogo swala serikali iweke mazingira ya kila mtu kupata kipato chake kwa njia HALALI.Na hii hali ambayo Mbunge wa chama cha upinzani akiongea basi polisi wanaona ni kesi kubwa tutaishia wapi?Mungu atuhurumie hii Tanzania sio yetu sisi wenyewe ni ya vizazi vyote vilivyopo na vijavyo. Tunapanda mbegu gani?
 
freedom is coming tomorrow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom