MSIGWA apata dhamana

MSIGWA apata dhamana

Huyu badala ya kumrudisha mtaani wangemkimbiza Mirembe faster.
 
arusha gari la polisi limekamatwa na magunia 18 bangi
mkuu hakuna jeshi la police bali wezi,na genge kubwa la wahalifu..tunahitaji kuondokana na mfumo mzima wa ccm..kila kitengo kimeoza,rejea meremeta.
 
Huyu badala ya kumrudisha mtaani wangemkimbiza Mirembe faster.

hapana huku uraiani ndiko kunamfaa, ili vijana wampasulie mayai tena, si unaona walivyowahi kumtoa kule kwa wenyewe.
 
mkuu hakuna jeshi la police bali wezi,na genge kubwa la wahalifu..tunahitaji kuondokana na mfumo mzima wa ccm..kila kitengo kimeoza,rejea meremeta.
Walisha sumu nao inabidi wabanwe mpaka waishe
 
mkuu hakuna jeshi la police bali wezi,na genge kubwa la wahalifu..tunahitaji kuondokana na mfumo mzima wa ccm..kila kitengo kimeoza,rejea meremeta.

Unajua wale walinzi a SLAA na MBOWE wametoka wapi? kaulize kama kuna zaidi ya wamachame , nimeisikia hiyo nikashtuka sana, haafu wanapochukulia hayo mafunzo ya ulinzi sijui kama serikali inalijua hilo.
 
si mbaya kwa sababu wewe ni kiona mioyo...cc iringa hatujawahi pata mb kama huyu wote waliopita walikuwa wazee wa ndio!! hata kama anatetea mkate wake na sisi tunafaidika kwa viwango tulivyomkadiria sio mbaya na hajashuka viwango tulivyompimia akizi zaidi bora zaidi kwetu...
Mzee Mandela alisimama kwenye ukweli. Ila huyu Mchungaji ana pigania mkate wake 2015
 
si mbaya kwa sababu wewe ni kiona mioyo...cc iringa hatujawahi pata mb kama huyu wote waliopita walikuwa wazee wa ndio!! hata kama anatetea mkate wake na sisi tunafaidika kwa viwango tulivyomkadiria sio mbaya na hajashuka viwango tulivyompimia akizi zaidi bora zaidi kwetu...

jana aliuza SOKSI ngapi?
 
Mbunge wa Iringa mjini Mh.Peter Msigwa ametimiza masharti ya dhamana huku wengine 60 wakimalizia taratibu zakupewa dhamana.
Kawaponza wenzake, kesho anakwenda kula bata DOM wao wanajificha ndani kama wametoka jando.
 
vijana wepi hao
unazania kila mtu anapenda kupasuliwa mayai kama wewe unavyopenda mayai nyuma
acha ushabiki wa kishamba hata wa kupinga mema
hapana huku uraiani ndiko kunamfaa, ili vijana wampasulie mayai tena, si unaona walivyowahi kumtoa kule kwa wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom