Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!

Kupitia chama gani??? huko CCM huwezi kupitishwa kugombea na kwakuwa hujafika Iringa muda mrefu hujui nguvu za msigwa alizonazo Iringa. Mgombea mtarajiwa wa ccm iringa ni Jesca(M/kiti wa mkoa) hata hivyo anayo kazi kubwa ya kufanya ingawa inaonekana anaushawishi mkubwa kwa wanawake na vijana...Msigwa alishasema hayupo tayari kulipoteza jimbo kizembe. Kuwa makini!!!Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza nini
Biblia ipi inasema kuwa uchungaji unasomewa? Mbona vilaza wamezidi sana JF?
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
Mchungaji wa punda watu hawakuelewa tu,chadema wanazoa zoa tu mara kuwachukuwa watoa tigo(lema)wazinifu wa wake za watu(slaa)wazinzi,wapenda starehe za dubai,wang'ang'ania uwenyekiti kwa nguvu,mbaguzi wa ukabila na dini,mwizi mla pesa za chama(mbowe)wasagaji(mdee)wavuta bangi na wezi wa vidani vya wavunge bungeni,kwa hiyo usiwashangae wachungaji na mapadri

Binafsi nilishangaa sana kuona mtu kujiita mchungaji wakati matendo yake ni utata mtupu tena kabla hata ya kuupata ubunge.mfano mchungaji alisha wahi kupanga nyumba ya bibi mmoja mitaa ya gangilonga na hakulipa kodi muda mrefu na alitoka kwa amri ya mahakama .hata hivyo aling'oa mlango na kuacha gofu ile nyumba. Nashangaa baadhi ya wana jf wanapomtetea ,wengi u-cdm unawasumbua kama hamfahamu kaeni kimya .
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
graduation day
siku ya mahafali nilipo maliza degree
Mkuu I like ur comment!
Kuosha viatu sio kazi ama kiuza genge sio kazi? We Lukosi usidharau kazi za watu ---- wewe kuna watu wanaishi town kwa kazi hizo hizo! We ni backpacker uko nini?