Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Uchungaji hausomewi popote. Mchangaji ni wakili wa Mungu, anafundishwa na aliyemuita. Wachungaji wa mshahara ndo wanapitia vyuoni ili wapate hekima ya kuwaongoza watu.
 
Lukosi muogope Mungu na uheshimu kazi za watu. kwa taarifa yako yote uliyoyataja ni shhghuli halali ambazo kwazo watu hujipatia mkate wao wa siku.

Chunga mdomo wako, nina hakika wapo pia jamaa zako wa karibu au mbali wanafanya shughuli hizo.

no wonder you are branded 'kubwa jinga.'
 

Kwani wewe umesomea wapi kula Rambirambi ya Mwangosi??
 
hizo ni hasira za mkosaji tuu, mwakalabela atipenda tu hiyo 2015, jembe msigwa
 
mse nge wewe nan alikuambia uchangaji lazima usomee, hujui kuwa ni God indpirational kwa watu wakw na ni talent? mku ndu wewe
 

Wewe ulisomea wapi Clearing & Forwarding huko UK au hata Tanzania? Mijitu mingine bana ipo so ignorant! Uchungaji ni mwito na siyo lazima mtu uende chuo! Inategemea personality yako, convictions/beliefs zako, persuasive powers ulizo nazo, oratorial skills, charisma, n.k. vitu ambavyo wengi wanazaliwa navyo, au wanajifunza kupitia maisha ya kila siku, na siyo lazima wawe na madigrii.
 

Mandela aliwahi kuwa mlinzi wa usiku mgodini Pimbi wewe!!!
 
Babu yake alikuwa akichuna sana ng'ombe na mbuzi hivo hakusomea bali uchungaji wake ni wakurithi
 
Biblia ipi inasema kuwa uchungaji unasomewa? Mbona vilaza wamezidi sana JF?
 

Mkuu I like ur comment!

Kuosha viatu sio kazi ama kiuza genge sio kazi? We Lukosi usidharau kazi za watu ---- wewe kuna watu wanaishi town kwa kazi hizo hizo! We ni backpacker uko nini?
 

Nawe anza shoe shine,kuuza duka utapata uchungaji na ubunge wa ccm.
Kweli nimeamin maccm yanatumia ------ kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…