Msigwa anatasha Mwakalebela za uso tu
Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!
wivu huo.............na hao wote wamekusanyika kumuona yeye tu!!Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa
Ni katika mkutano uliofanyika Leo 19/7/2015.Mkutano ulikuwa wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua na kuwataarifu wananchi mambo aliyoyafanya kwa miaka mitano ya uwakilishi wake.
Watu wa Iringa mmetufurahisha kwa kumpokea kamanda, hakika mmechagua fungu jema
Namkubali sana Msigwa, unajua kuna watu, wanahitaji tunuku bila kujali itikadi za vyama. kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe ni insanity. kwani mbunge kuwashukuru wananchi wake kuna kosa gani? halafu kumbuka sio wte wanaojua aliyoyafanya, kwa ufafanuzi wake wanaelewa zaidi. Ndugu na hako ka avatar kako, nilitegemea ungekua more constructive in your philosophy. emancipate yuorsele from mental slavery of thinking that, it is only CCM that has good people. Msigwa has written his history in this country. stop GIGO.Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Mh! hii sasa sifa! watu wote hao khaa..
Aisee hapana. Niseme ukweli Iringa kurudi CCM haitawezekana. Hakuna mtangaza nia hata mmoja mwenye nusu ya mvuto wa mchungaji. Siongei unafiki Ila kwa macho yangu nimeona watu wengi tena wa hali ya chini sana wakitembea kwa mguu toka nduli kwa kupitia milimani ili kukwepa ffu wafike kwenye huo mkutano. Ilikua AMAZING
Yaan wana iringa mjini mkimtosa msigwa mtakuwa mmefanya dhambi kubwaaa sana adhabu yake ni kuuawa...
Mkuu nasikia wamemsifu bila yeye kusingekuwa na barabara ya Iringa - Dodoma pamoja na hospitali moja hivi imejengwa mitaa ya frelimo
Hii ni mara 10 zaidi ya mapokezi ya Magufuli Geita.... Mwaka huu kazi ipo, I bet Ukawa kushika dola oktoba
Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa
mimi ningekuwa mwakalebela nisingepoteza muda , ningehakikisha nampisha msigwa kuepuka aibu .
Hiyo BaraBara imejengwa na Magufuli?
Iringa mmesema, tumewasikia! Chadema ni mpango wa Mungu kwa hakika.
Ufuate shati lako