Kama ni lazima baada ya kila muongo mmoja chama kimoja kikuu kife kwa nini kisife chama cha mapinduzi?
Je ni lazima kuwa kife CHADEMA?
Hivi unajua wakati huu unaandika ni kwamba CCM kishakufa? Ila kina pewa uhai na geshi la polish?
Usilinganishe kifo cha chadema na wakina NCCR,TLP wao walikufa vifo vya takwa la serikali,CHADEMA kifo chake ni kigumu sana,sababu uhai wa chadema umefungiwa kwenye MIOYO ya wananchi.
Ukitaka kukiucha chama cha CHADEMA,basi kiondoe kwenye mioyo ya watanzania.
Na kukuondoa kwenye mioyo ni lazima CCM ifanye wananchi wnacho taka,na sio vipigo vya polisi,kukatakata wasimamizi wa kura,kufilisi matajiri,kubomolea watu wa kimara na kuwaacha wa mwanza.
CHADEMA INA ROHO YA PAKA.