Msifurahie CHADEMA kupotea

Msifurahie CHADEMA kupotea

Wenye chama wana hoja nyepesi sasa nani awambie
 
Kama NCCR Mageuzi ilipotea......Chadema ni kitu gani bila Sera na hoja madhubuti kwa Watanzania!? Kila kukicha mnatengeneza matukio ya kuchafua hali ya hewa. Watanzania sio wapumbavu kama mnavyofikiri.
cc: mrangi
Hivi mzigo uko mwingi wa kufanya usajili

Ova
 
Huwezi kufurahia upinzani kufa ...lakini unafanya nini na watu wabishi, wajuaji wasio shaurika? Kila anayewashauri anaitwa gamba ....enzi za jamii forums ikiwa moto kweli kweli kulikuwa hakuna kuoneana haya .....wapinzani wakifanya blunders wanalipuliwa achilia mbali CCM ambao walinyooshwa kweli ....imefikia mahali wapinzani wakadeka ....wakiguswa ni kulia ....hawataki kusemwa ....kila anayekuja na wazo mbadala ni msaliti .....sasa soon wataitana wasaliti hadi wote wataisha .....
 
Dawa ni kubadili uongozi basi. Aje MTU kama JPM wao. Sio Lowassa au Sumaye toka CCM. Mtu kama vile Dr Slaa. JJ Mnyika .........
 
Hizi ndio changamoto ambazo chadema inapaswa ipitie ili kiweze kukomaa,unafiki wa wanachama unatoa fundisho kwa wale wanaobaki. Ningeshangaa kama chadema wasingepitia changamoto hizi. Kwani nchi yetu tuanajua tunapoelekea
 
Ufisadi Kipindi Hiki Upo Sana but Hauongelewi tu, Kwa sababu nowdays hakuna uhuru wa Habari
 
Wapotee tuuu, Wakitaka chama kiimarike kwa Mbowe aachie madaraka kwa wengine, kaprove big failure
 
.....

#Ni Kweli kuwa Mh Magufuli kwa sasa anafanya mengi makuu na kujali kodi za wananchi ila tukumbuke kuwa Muda wake ukiisha tunaweza kumpata mtu mbovu kabisa..

I’m a slower observer, ebu nisaidieni kuona/kuelewa anachofanya Magufuli kizuri katika kujali kodi za wananchi, na hayo mengi makuu!

Hoja yako ingekuwa na maana kama ungezungumzia pia na usawa wa kisiasa baina ya CCM na vyama pinzani. Unaachaje kuzungumzia jinsi maCCM yanavyotegemea msaada wa vyombo vya dola? Jinsi CCM ilivyo chama-dola?
 
Back
Top Bottom