msidharau watu huko ulevini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msidharau watu huko ulevini!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Red Giant, Apr 24, 2012.

 1. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,010
  Trophy Points: 280
  weekend moja nilitoka nikapate kilimanjaro baridi, basi kufika mida ya saa saba hivi jamaa wawili wakaanza kuzozana mmoja mrefu na umri umeendaenda mwingine kajunk tu tena kafupifupi, sasa nikashangaa kumuona yule tolu akilalamika . niue niue niue we si una panga niue sasa we si una nyundo niue. nikamuuliza jamaa yangu where is this joy kill from? yaani watu tunastarehe ye analeta stori za kuhuzunisha , nani atakuja kunywa na panga na nyundo.
  tolu si akaondoka, kinane hivi nasi tukawa tunaondoka nikamuone yule junk nikamuuliza mbona jamaa anasema unapanga na nyundo hivi ni kweli? , jamaa akajibu tena angeendelea kidogo tu ningempasua huku akichomoa upanga wenye makali kuwili kwenye suruali na craw hummer toka mfukoni! nikabaki mdomo wazi! nikauliza we ni mlinzi jamaa akasema hapana ila najiandaa na wazembe wazembe wanaofuatilia anga zangu! basi kutoka hapo home tukawa kama sight mirror yaani tunaenda mbele huku tunaangalia nyuma.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mngemdharau "angewaua"?!

  Sehemu ikishakua na walevi sio.sehemu ya kuleta utani au dharau kwa mtu usiyemjua. Walevi nadhani mnajuana.
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  imekaa kimizengwe zaidi...ila inafundisha...
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Acha ulevi.
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Katika kunywakunywa zako hujawah kutana na hali kama hyo?
   
 6. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,010
  Trophy Points: 280
  siku yakimkuta ndio atajua kama mizengwe au laa
   
 7. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,010
  Trophy Points: 280
  mkuu mi sio mlevi, nilikuwa naondoa depression
   
 8. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  vague!
   
 9. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,010
  Trophy Points: 280
  watu wanasema wanawake wana wivu mbaya kumbe ni nyie wachache mnawachafua wenzenu
   
Loading...