Nina miaka 27, ni mwembamba kiasi, maji ya kunde, ni mkristo (RC), nimehitimu chuo. Natafuta mdada ambaye atakuwa mke wangu baadaye, umri 20-25. Mrejesho hapa hapa.
Wanakuja punde! Usitoke nduki chp mkononi. Usisahau kuhamisha hivyo vijihela kutoka wallet hadi mfuko wa shati.
ADIOS
ka picha yako ndo hyo...............huh,jitahidi mpangilio wa mavazi mana dizaini ka umevaa kachumbari hvi
Yani ..dogo kila siku unakutana nao toka ulivozaliwa mamako anakupeleka klinic ya watoto,ukaenda shule, ukapata kazi (kama unayo) hadi sasa huna wadhani utapata humu mtandaoni??? Au kuna hitilafu fulani unayo unajaribu kutuambia?
kaazi kwelikweli mke mwema anatoka kwa Mungu na siyo kwenye mtandao utalia weye..........!!!!!!11
kaka, una kadi ya atm?