Msichana wangu

Hayo yanatokea kwakuwa umelenga kumchezea na huna malengo kabisa! ungekuwa na malengo hizo ligi za mchangani usingeziendekeza, ungekuwa nae tuu.
 
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.
Duh ameshindwa kupanda mtungi muwekee ngazi anaweza kupanda.... halafu acha kuchezea maisha ya mwenzako we mwezi na nusu tu unataka kuchakachua angalia usje ukachakachuliwa uyo anamiiko au kama vipi Mpotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...Happy new year
 
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.

Pole sana hiyo ndio style inayoshika kasi kwa sasa, mtu haitaji mambo ya kulindana. unafungwa mtambo wa kuzuia wezi. Muulize vizuri akupe Lv history yake.
 
Malaika wako wanakuokoa na ngoma hapo ila wewe unakinzana nao ilibidi siku ya kwanza tu usepe mbali sana. Kuna watu mna malaika wazuri mpk wanakupigania kukuokoa hivyo halafu huoni tu, ngoja sasa siku uwazidi nguvu uchakachue nakwambia siku hiyo hiyo unaanza kutoka majipu (UKIMWI wa Kyela)
 
presha tu ya CHOMBO KIPYA..labda ulimpania saaaaaaaaaaaana
tulia2,afta kuzoeana sana iyo hali itapotea..just try 2b closer to her na ile michezo mcheze sana itakufanya asiwe mwoga tena kwake na itakufanya umzoee hali itakayofanyua akili yako imkubali na kutoa ushirikiano wote wakat wa HITAJI.
NAWASILISHA
utu uzima dawaaa...
 
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.

Punguza uzinzi unagonga sana nje
 
Jana nilitembelewa tena na huyu binti mantashwaha aliyeumbwa akaumbika.
Akaniomba mchezo, kitu kikainuka. In and out tano hazikufika, mara mzee uji ukamwagika, demu akasikitika ile mbaya,
akafanya mautundu yake tena, kitu kikainuka, hakikukaa hata dakika mbili nikalowesha tena ahhhhh.
Sijui ni nini hii waungwana?
 
Endelea kujaribu mpaka unase, naona we mbishi sana, asiyesikia la mkuu???? Anatatizo huyo....:bump:
 
Acha hayo makoloni mengine na uwe na nia safi na huyo mdada mambo yatakuwa sawa.....si sifa kuwa na makoloni,wakati umebadilika. :smash:
 
muulize kama anapata matatizo hayo kabla alipokuwa na wengine, hapo kama ni hivyo mpeleke kanisani asaliwe au muombe Mungu amfungue

watu wengine inawatokea kama walimkosea mtu b4 na wanafanyiziwa wasile raha tena

unamaanisha ampeleke kanisani asaliwe au amuombe mungu amfungue ili wasiwe na kizuizi kwenye kuzini au ili iweje?kweli mungu anapata maombi ya ajabu sana!!
 
Gonga ngorotii (viagra ya kienyeji) mjomba kijiko 2 tu haaa, toka kwa masai co mchezo ila lazima uhakikishe anakuja/yupo vinginevyo shehe kama jirani kuna wa hata chini ya miaka 5 utasemanae na hapo ndo jela utakapoijua. You've good time, Im out!
 
Back
Top Bottom