Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu wakuu,

Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Muulize Kwa Nn Apendi? Jibu Lake Ndio LA Kukupa Waswas Au Amani.
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
una miaka mingapi??? ivi kama unawaza haya utakua na habari kwa yaliyotokea juu ya MCC kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom