Msichana wangu ananionea aibu saba, nini dawa yake

Msichana wangu ananionea aibu saba, nini dawa yake

Dawa ni kumuita room usiku umeme ukiwa umekatika alafu unamwambia "bby nimekuita tufanye matusi"
 
ASALAAM WAKUU,
Ni hivi nina mchumba nipo nae mwaka wa tatu hu, tatizo kubwa ndio hilo yaani aibu kwangu haikatiki tangu nimtokee, athubutu kuongea nami live ila kwenye simu tu anaongea maneno elfu kidogo, na pia nikikutana nae kama kuna uwezekano lazima anikwepe haniangalii usoni mara mbili, kinacho nikera akiwa na watu wengine ni muongeaji mzuri tu. wenye EXPIRIENSI nishaurini dawa yake
[emoji39]
WEKA NAMBA YAKE YA SIMU HAPA
TULIMALIZE HILO TATIZO MKUU.
 
Kama ni muongeaji mzuri kwa wengine ila sio kwako means anakupenda sanaaaa mkuu. . . Binafsi niko ivo, nina aibu zaidi kwa mtu ambaye nina hisia nae

Ushauri :mvumilie tu atazidi kukuzoea kadri unavyozidi kumuweka karibu yako, usikereke mkuu
 
Huyo anakuektia! Miaka mitatu kweli? Atakuwa kaambiwa, yeye kuwa na aibu ndio kuwa na ustaarabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom