Mfanyakazi wa kuuza matunda anahitajika Arusha

Mfanyakazi wa kuuza matunda anahitajika Arusha

laurentie

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
101
Reaction score
79
Habari wadau,

Nimeleta fursa kwa vijana.

Anahitajika msichana mrembo, msafi kwaajili ya kazi ya kuuza matunda na juice

Mkoa anaoitajika ni Arusha Mshahara sh 80000 chakula na nauli utapewa

Anahitajika haraka

Maombi piga simu 0683927848.
 
Hiyo 80k mbona Mimi nauza kwa siku?? Acha kuwanyonya vijana..
 
Back
Top Bottom