Msichana wa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana wa kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by molely molly, Mar 16, 2012.

 1. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatafutwa msichana wa kazi atakae kua na uwezo wa kujituma coz kazi na mazingira
  condition ya kazi ; kazi ya cafe ajue pika chapati min all snacks supu and chips
  maeneo ya kazi supposed anatakiwa awe mo town(shanty)
  atapewa house allowence mean chumba yake free (chumba ya nje as other wapangaji)
  msosi free na coz atakua anapata na joice some tyme na ndo biashara iko mwanzoni salary 30 000\=
  au alipwe 65 000\= then ajitegemee kila kitu chumba kiko wazi till now na nafasi ipo still
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umlipie Bima ya Afya na NSSF,kwa hiyo 30,000/= nitakuletea hata kesho.
   
 3. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huo ni mshahara wa nchi gani kwa mwezi ndugu, huyo msichana naona hataweza kununua hata mahitaji yake muhimu ambayo hawezi kukwepa.
  Naona kama unaye ndugu wa karibu waweza kutafuta kuliko kuja kupata lawama kwa kuajiri mtu chini ya kiwango cha mshahara kinachokubalika/
  Kwa ajira hizi watanzania hatutoki ng'o.
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Akila chakula cha bei rahisi sana kwa siku atakula 4500, kwa mwezi ni 135,000 hapo hajanywa juisi au soda....Chumba Moshi ni Sh.ngapi....let us say 20,000 na chakula inakuwa 155,000 akipewa hiyo 30,000 mi naona poa tu kwa msichana!!
   
Loading...