Anahitajika msichana wa kazi (kuuza chakula), tupo Kinondoni

laurentie

Senior Member
Feb 24, 2012
100
76
Anahitajiaka msichana wa kazi kwa ajili ya kuuza chakula.

Msichana awe msafi, mrembo, mwenye kujituma na nidili na kazi mshahara sh 90000 kwa mwezi chakula na chai anapewa ofisini.

Kituo cha kazi Kinondoni Dar es Salaam.

Tuwasiliane 0783840591, 0658948281

N:B anahitajika haraka sana
 
Kumbe urembo pia ni kigezo cha kupata kazi? Duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom