Naona hatuelewani kwa hiyo siwezi kuendelea. Wewe unatumia hisia kujenga hoja, Kama mtu anafanya kazi ya kuajiriwa kwa mshahara wa 400k kwa mwezi, alafu ana familia, then akaajiri house girl akaishi nae kwa kumlipa 40k kwa mwezi, basi kwenye hiyo nyumba house girl ndiye mwenye uwezo wa kusave pesa nyingi kwa mwezi. Bosi wake kuanzia tarehe 20 anaishi kwa madeni tu hadi mwisho wa mwezi ufike. Believe me or not.Kwani wewe hufahamu kima cha chini .... ..GT gani ambaye anataka kutafuniwa?