Peace92
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 261
- 55
Mkuu kweli unahitaji!? Nipm nikuunganishe na mtu[/QU. niko siriazi naitaji
Mkuu kweli unahitaji!? Nipm nikuunganishe na mtu[/QU. niko siriazi naitaji
hili halifanyi 40,000 kuwa nyingi. Two wrongs do not make a right.Mnasema elfu 40 ndogo? Njooni viwandani kwa wahind muone kasheshe, mshahara laki na ishirini(unywe chai asubuh,ule mchana,ukatwe nssf, ulipie kodi ya chumba) halafu kumbuka kazi ni masaa 8 umesimama kuendesha mashine. Mdada wa kazi halipi kodi ya chumba wala chakula wala paye
Ivi angekuwa amepanga kwake na anajitegemea kila kitu house girl angestahili mshahara wa shilingi ngapi?Niliwahi kusema sheria za wafanyakazi wa majumbani zipitiwe upya na viwango vitangazwe, swala la mfanyakazi kukaa nyumba moja na mwajiri liangaliwe na wafanye kazi kwa masaa. Hii ni dhuluma ambayo inaendekezwa sana Tanzania. Wafanyakazi wa majumbani wanadhulumiwa sana.
ifike pahala tuache mbwembwe na kujikweza mitandaoniOngeza kidogo. Mimi namlipa msaidizi wangu 80,000 kwa mwezi anafanyakazi mara moja kwa wiki. Lets be fair jamani.
tena usikute anaishi hapo hapo mahitaji yote kwa boss wakeMimi nilizani mngeanza kumuuliza size ya familia yake Kabla ya kusema hiyo elfu 40 kuwa ni ndogo, huenda ni newly married couple hata bado hawaja pata mtoto kuna tatizo gani? Elfu 40 siyo ndogo Kama kuna justification !
Ningekwambia namlipa 30,000 kwa mwezi ndio ungeona sawa. Typical JF. FYI niliweka tangazo humu humu na huo ndio mshahara niliutangaza na nilimpata humu humu na ninamlipa hio hela. Mimi sio tajiri ni masikini tu ila nathamini mchango wa mtu mwingine.ifike pahala tuache mbwembwe na kujikweza mitandaoni
Ivi angekuwa amepanga kwake na anajitegemea kila kitu house girl angestahili mshahara wa shilingi ngapi?
Mdogo wangu yuko home anafanya shughuli za kuuza na kununua nyanya kwa mwezi anapata 300000+ sasa nikimleta kwako nitakuwa nimemuua au nimemsaidia?Uwo mshahara nibora tu mtu abaki kumsaidia mzee wake
Hujajibu swali langu mkuuMkuu ndipo hapo tunatakiwa kufika mahali na kusema kama unamwajiri mfanyakazi wa ndani mshahara wake ni shillingi kadhaa kwa saa moja, na atafanya kazi kwa masaa 8 kwa siku. Mbona nchi nyingi tu wameweza, mfano UK mfanyakazi wa nyumbani kwa saa ni £7.50 (Kuanzi April 2017) ambayo ni minimum wage. Unaweza kuongeza kama wewe mwenyewe unapenda. Kitendo cha kutokubadili sheria zetu ziendane na wakati ni kuendekeza utumwa ambao ulikuwa abolished miaka mingi sana iliyopita. Hatuwezi kuendelea kuwafanyisha kazi wafanyakazi wa majumbani kwa masaa zaidi ya 8 kwa siku, ni unyanyasaji.
Tujue kutofautisha kati ya kazi za nyumbani na ofisiniMkuu ndipo hapo tunatakiwa kufika mahali na kusema kama unamwajiri mfanyakazi wa ndani mshahara wake ni shillingi kadhaa kwa saa moja, na atafanya kazi kwa masaa 8 kwa siku. Mbona nchi nyingi tu wameweza, mfano UK mfanyakazi wa nyumbani kwa saa ni £7.50 (Kuanzi April 2017) ambayo ni minimum wage. Unaweza kuongeza kama wewe mwenyewe unapenda. Kitendo cha kutokubadili sheria zetu ziendane na wakati ni kuendekeza utumwa ambao ulikuwa abolished miaka mingi sana iliyopita. Hatuwezi kuendelea kuwafanyisha kazi wafanyakazi wa majumbani kwa masaa zaidi ya 8 kwa siku, ni unyanyasaji.
Kwani wewe hufahamu kima cha chini .... ..GT gani ambaye anataka kutafuniwa?Hujajibu swali langu mkuu