Msichana wa dukani anahitajika haraka:

Msichana wa dukani anahitajika haraka:

Manstone

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
516
Reaction score
315
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 0715531957,

Ahsanteni Kwa Ushirikiano Na Hatimae Masaa Machache Nmempata , Tumeanza Nae Mchakato Wa Kuanza Kazi.
Mungu Awabariki Nyote,
 
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
Upo mkoa Gani?
 
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
hongera jirani kwa kutoa ajira....
 
Dukani hukai mwanamke, tafuta kijana wa kiume.Wateja wengi dukani ni akina mama na watoto.Umeelewa?
 
Dukani hukai mwanamke, tafuta kijana wa kiume.Wateja wengi dukani ni akina mama na watoto.Umeelewa?

mkuu nilikuwa nae wa kiume lakini ndo ivyo ametoroka na hela zangu.
bora kwa sasa niwe na wa kike.
 
mkuu nilikuwa nae wa kiume lakini ndo ivyo ametoroka na hela zangu.
bora kwa sasa niwe na wa kike.
usikadilie sasa kuwa kila mtu anakimbia na hela... weka fursa watu waaminifu tupo mkuu...!!!!
 
Back
Top Bottom