Msichana wa dukani anahitajika haraka:

Manstone

JF-Expert Member
May 12, 2013
503
500
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 0715531957,

Ahsanteni Kwa Ushirikiano Na Hatimae Masaa Machache Nmempata , Tumeanza Nae Mchakato Wa Kuanza Kazi.
Mungu Awabariki Nyote,
 

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,843
2,000
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
Upo mkoa Gani?
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,595
2,000
Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
hongera jirani kwa kutoa ajira....
 

JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,229
2,000
Dukani hukai mwanamke, tafuta kijana wa kiume.Wateja wengi dukani ni akina mama na watoto.Umeelewa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom