Papaa pedeshee
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 274
- 400
Ahahahahahah!Bodi ya mikopo unakuja kuomba ushauri?
Ahahahahahah!Bodi ya mikopo unakuja kuomba ushauri?
Unasomeshaje mtu ambae kwao hujulikani rasmi? Anachofanya hapo, anawapeleka chuo ili wakutane na wapenzi wa maisha yao 😅😅Ja ma ni !!!
Ni kweliUnasomeshaje mtu ambae kwao hujulikani rasmi? Anachofanya hapo, anawapeleka chuo ili wakutane na wapenzi wa maisha yao 😅😅
U hali gani lakini?Ni kweli
Sipo njema sanaU hali gani lakini?
Nataka nikusomeshe babee level yoyote unayotakaSipo njema sana
Niache kidogo ....sipo sawa....pleaseeNataka nikusomeshe babee level yoyote unayotaka
Nakadori leo umenisaliti [emoji174]Umegeuka wizara ya elimu kusomesha waalimu eeh
Aya sawaNiache kidogo ....sipo sawa....pleasee
Shida Nini tena?Sipo njema sana
Nimekusalitije tena chawa?Nakadori leo umenisaliti [emoji174]
Yule wa Jana usikuShida Nini tena?