mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,970
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.kuna kazi nyingi nzuri hazihitaji elimu kubwa bali muonekano,cashier wa bank,customer care,air hostless,receptionist,secretary,tv presenter,modelling etc
Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.