Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,650
Reaction score
4,481
Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..

Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo

Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende

Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao

Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa

Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo
 
Unaweza kwenda lakini umri kule huwa unaendana na level yako ya Elimu,kama umeishia form four kuna miaka yake,form six pia, bachelor level pia, na kuendelea .

Mfano bachelor umri gani?
 
Naona Umenimiss !! Shkamoo ba mkubwa ✋!
Marahaba binti. Hayo ya kumisiana yaache kwanza! maana jana tulikuwa na shughuli ya mpemba yupo London, leo ametinga Mrs Fulani2022 naye ana yake. Kikubwa haamini kuwa sie babu zenu, baba zenu hata agemate zenu akili tunazijua wenyewe. Haiingii akilini uishi nyumba moja na pisi kali halafu dododogo usitamani. Hata Askofu wa RC atashindwa tu. Unless uwe mtu kama mimi ambaye hana kiuno

CC Mume wangu hapendi ndugu zangu
 
Gazeti lako sijalielewa wee mwehu nipe samare nielewe vizuri!
 

We nenda ukawe chakula cha ma private maana wanapenda sana visichana vidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…