msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

 
Unawaza nini sasa? JIPANGE UMTIE NYINGINE pitia karanga, pweza, prawns, mihogo ya kutafuna na asali. Hii ni kama ulutumia nguvu nyingi bila mafanikio kwa ile ya kwanza.
 
geresha hiyo,inawezekana vp mvua inyeshe bondeni halafu mafuriko yawe mlimani??
 
hapo cha kukunyima usingizi ni nini?au ndio mbegu zimeisha?oa kwanza,alaah
 
Nini cha Kusoma kwa makini? Amekuchosha nini? We Ndo watakiwa uwe mwelewa, Kama Mimba imetoka yeye Afanyaje?




 
NIMEJIKUTA NACHEKA,MAANA HAPO MKUU UKAJUA UMEPATA MKE UBWEETE KWA TKT YA MIMBA,HADITHI YA CHENI BANDIA NA PESA BANDIA:flypig:
 
Hakuwa nayo huyo alikuwa anakupima imani

Muwahi ukampime UPT kabla wiki 2-3 hazijapita maana bado hcG levels zitakuwa hazijashuka bado, hivyo UPT itakuwa positive, kama ikiwa UPT negative ujuwe changa la macho hilo! Pole mkuu
 
Kwang naona wote hamjui nn mnafanya na mahusiano ya hvo mwisho wake daima ni kupotezeana muda pia kugeuka maadui. Guy, u cnt be serious eti kila ki2 uambiwe kwenye cmu harafu unablame anakuzingua.............. Just follow her physical & if possible fanya taratibu mchukue ukaishi naye Bagamoyo
 
Amepima upendo wako na kujiridhisha kuwa huwezi kumuacha kwa kigezo che kumpa mimba!Hongera mbona zoezi limekuwa rahisi kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…