BlackBella
Member
- Aug 10, 2012
- 28
- 10
Ni kweli brother,hotel zipi kaka mm nimetoka shule.
Kama huna mipango ya kuendelea na shule si uolewe tu ujipumzikie bella! Lakini usiniulize uolewe na nani.
Kama huna mipango ya kuendelea na shule si uolewe tu ujipumzikie bella! Lakini usiniulize uolewe na nani.
Google 'job agencies in tanzania', utaona zinakuja.
Wewe ni mmalawi?
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com
kwani bella maneno yako ynauongo mwingi mmno,wewe kwa miaka 18 umemaliza form 6 lini na matokeo ushayaona na hizo lugha ukazisoma? maana kila anaemaliza form 6 anamatarajio ya shahada. otherwise kuna watu hawatafuti kazi la zaidi wanataka kuonekana tu pls acheni utani