Msichana bella natafuta kazi

Status
Not open for further replies.
Ahsante unavyofikiri,naomba unielewe kaka mm nina elimu ya form 6 na ndio nimetoka shule,sasa kuna kizuizi gani kinachonifanya nisitafute ajira,sio lazima eti nisubiri matokeo,kila mtu ana matatizo yake kaka.
 
kwani bella maneno yako ynauongo mwingi mmno,wewe kwa miaka 18 umemaliza form 6 lini na matokeo ushayaona na hizo lugha ukazisoma? maana kila anaemaliza form 6 anamatarajio ya shahada. otherwise kuna watu hawatafuti kazi la zaidi wanataka kuonekana tu pls acheni utani

Hivi kwani ni marufuku mtu kutafuta kazi bila ya kujua matokea ya mitihani yake? Na toka lini form six wakawa wanapewa shahada badala ya vyeti? Unaposema anataka kuonekana tu, hivi unawezaje kumuona kwa kupost thread hapa?
 
hata mi nashangaa hiyo shule alianza lini na akiwa na umri gani mpaka akasoma vyote hivi huyu ni muongo lkn kama sio muongo basi amedanganya miaka mana kwa mimi hainingii akilini kwamba amemaliza form six na huo umri kama vipi nenda tukuyu kuna kazi za kiwandani:yawn:
 
Ahsante unavyofikiri,naomba unielewe kaka mm nina elimu ya form 6 na ndio nimetoka shule,sasa kuna kizuizi gani kinachonifanya nisitafute ajira,sio lazima eti nisubiri matokeo,kila mtu ana matatizo yake kaka.

kumbe bado unasubiri matokeo! mbona yalishatoka siku nyingi?? au form 6 ya nchi gani?
 
Kila la kheri! Hata hivyo, ukienda kwenye ovi.com unakutana na Nokia Maps! (Tumeingizwa choo cha jinsi nyingine)
 
Acha uongo miaka 18?obvios mtu akiwah kuanza shule anaanza la 1 na miaka 6,anamaliza na miaka 13,o-level 17,a-level miaka 20,xo wewe umesoma nch gan umalize 6 na miaka 18
 
huyu alianza na miaka 4,o level akamaliza na 15,na A level akamaliza na 17,then mwaka 1 akaenda kusm lugha na kujifunza kupika
 
Dada tembelea haya maeneo kazi zipo nje nje!!
Ambianse kwa dar,
kaumba kwa moro
shiverz kwa arusha
 
Acha uongo miaka 18?obvios mtu akiwah kuanza shule anaanza la 1 na miaka 6,anamaliza na miaka 13,o-level 17,a-level miaka 20,xo wewe umesoma nch gan umalize 6 na miaka 18

Hoyaaa Kuna mtu namjua kabisa alimaliza form4 ana miaka 16!! Sema ni mtoto wa kishua! So ni possible kumaliza 6 una miaka 18!!
 
Mbona kumaliza 6 ukiwa 18 ni kawaida. Fika english media nyingi na international schools, ndio expected.
 
jaman watu wanamaliza 6 na miaka 17, kwanza humu ndan wamejaa wasio na kaz so kusaidiwa ni asilimia 20,
 
dada nachokushauri weka picha yako humu na namba ya simu then utaona unapata kazi kama mia hivi fasta fasta..make sure unaweka picha yako sio ya mtu mwingine
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom