Msichana asiyeweza kusema asante

Msichana asiyeweza kusema asante

Nilichopata hapa kikubwa ni malezi na tabia ya mtu kwa sababu kusema asante haimaanishi kakupenda sana, unanuna kitu dukani then Unamwambia muzaji asante, logic hapa ni tabia ya ya mtu nafikili alivyokuzwa na kuchukulia mambo
 
Mvumilie madhaifu yake..
Usipanic kikubwa mahusiano mazuri kama yapo.jitahidi kupuuzia vitu visivyo na ulazima.japo vina umuhimu.na usipovipata vinaumiza na kuvunja moyo.ila chukulia ndo udhaifu wake.usimchukie muonee huruma.na wala usimwambie mbona hausemi asante.
 
Tenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Aisee watu mko tofauti
Wangu hataki kusikia hilo neno kabisa.
 
Aisee watu mko tofauti
Wangu hataki kusikia hilo neno kabisa.
Sio Kwamba watu tunapenda asante ila ni kitu cha kushangaza tu kuwaona mtu awezi kusema asante, au kutoa feedback ya kile alichopokea ila ajabu ni kwamba kuna mahusiano mazuri
 
Kusema asante kuomba radhi niuungwana nautu wamejaaliwa wachache ktk dunia hii mchukulie huyo niktk wale wasio tambuwa maana yaneno asante au nisamehe maneno hayo hutamkwa nawaungwana kaka
 
Nadhani nitakuwa tofauti kidogo, tabia za mwanadamu sometimes zinatokana na upbringing. Kama amelelewa kwenye mazingira ambayo tangu utoto wake hakufundishwa kushukuru (kusema ahsante), then itakuwa ngumu sana kwake ku adopt tabia ya kusema ahsante na hiyo tabia itaenda hivyo mpaka kwenye uzao wake maana nae hataweza kuwafundisha watoto wake kushukuru. Hivyo itahitaji muda wa ziada mpaka huyo mwanadada aweze kujengeka na tabia ya kusema ahsante.
Ila mwanzo wa tatizo ni malezo aliyoyapata. Wee
 
anakula bange??
maana nilisikia wanaokula bange wana mambo yasiyo ya kike
 
Back
Top Bottom