Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
HapanaBado hujapenda
HapanaBado hujapenda
Sio kwamba watu tunataka asante ila kwa watanzania asante kitu kigumu kukokosa kwa mtu hapo ndio napata shida ya huyo binadamu wa nchi gani anaweza kuwa na matatizo yayajui sio kwangu tu ya ndio tabia yake hata kwa rafiki zake wengineMfundishe awe anakutamkia maneno romantic
Asante mkuu, siwez kuwa mtumwa, nitajitahidi kujinasua kwa namna yoyote ile cc Jolie Joliekwani tafasiri ykupenda nikuwa mjinga kwa mtu pasipo kuipa nafasi akili ktk maamuzi yko ??
acha kujifariji ..mwanamke akiwa akuhitaji huwa anaonyesha kutokukujali hata kwa neno ASANTEWanochuna ni wanamaneno matamu kuliko unavyo fikili
nashukuru bossAsante mkuu, siwez kuwa mtumwa, nitajitahidi kujinasua kwa namna yoyote ile cc Jolie Jolie
Huyo ni kauzuTenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Basi ni maskini jeuri uyoSio kwamba watu tunataka asante ila kwa watanzania asante kitu kigumu kukokosa kwa mtu hapo ndio napata shida ya huyo binadamu wa nchi gani anaweza kuwa na matatizo yayajui sio kwangu tu ya ndio tabia yake hata kwa rafiki zake wengine
Wengine malezi walioyapata wakiwa utotoni,kama hakufundishwa kushukuru akiwa mdogo huwezi kumrekebisha akiwa mkubwa,ataona kama unampangia sheria kumbe ndo uungwanaSio kwamba watu tunataka asante ila kwa watanzania asante kitu kigumu kukokosa kwa mtu hapo ndio napata shida ya huyo binadamu wa nchi gani anaweza kuwa na matatizo yayajui sio kwangu tu ya ndio tabia yake hata kwa rafiki zake wengine
Kupenda ni upofu wahenga walisemakwani tafasiri ykupenda nikuwa mjinga kwa mtu pasipo kuipa nafasi akili ktk maamuzi yko ??
ukizidi sana utaitwa mjinga kama sio zoba.maana utakuwa Tayari kuyaharibu maisha yko mwenyew kwaajili ykunenepesha maslahi yamtu asiyejali utu wakoKupenda ni upofu wahenga walisema
Jitathmini mkuu, cheki nafasi yako kwa kinaUnafikili ni kuforce basi yupo kwenye trigger sema tu hiyo tabia
SHAURI YAKO ...endelea kuamini unachkiamini mkuu..umetoa hoja ukiomba ushauri kisha washauriwa lakini bado wapinga mawazo ya washauriTabia kusema asante nijuavyo hata kama mtu amekukataa ukimpa kitu atasema asante so nakataa kama linausiano na kupenda
Unachunwa MKUU huyo hana future na weweTenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Bora huyo mkuuTenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu