Msichana asiyeweza kusema asante

Msichana asiyeweza kusema asante

Tenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Mtu asiyeshukuru dawa ni kutompa akihitaji!
Huyo kwa kifupi kakuchukulia boya tu, au kuna watu wanampa zaidi ya vile wewe unavyompa!!
 
Tenda lolote jema mnunulie nguo mpetumie pesa uwezi kusikia wala kukutumia text ya asante huu ugonjwa tatizo lake nini hebu wenye uzoefu waje waseme kitu
Tenda wema nenda zako.......
la sivyo uache kuforce mambo mkuu, utakuwa haupo moyoni mwake ila wewe unajipendekeza kwa vizawadi
 
Tabia mbaya sana hiyo, unaweza kuta ana mtu. Hivyo anashindwa kukupa Asante, anajua akifanya hivyo,ataendelea kukuchanganya na wewe utamganda. Ndo maana anashindwa ajibu nini!?
 
Huo ni ugonjwa wa dharau una sababishwa na virusi vya tamaa matibabu yake ni kupiga chini na kutafuta chombo kipya ambacho hakina virusi.
 
Kwani ni lazima useme Ahsante mkuu, wewe fanya kinachowezekana mengine usikariri, ila mie hata nikisalimiwa tu nasema ''Ahsante kunisalimia''
 
Tena kuna wasichana watu utumia neno sio romantic nafikili ndio hao
 
Mtu asiyeshukuru dawa ni kutompa akihitaji!
Huyo kwa kifupi kakuchukulia boya tu, au kuna watu wanampa zaidi ya vile wewe unavyompa!!
Sio kumpa kwa kujopendekeza anaomba tu kwa shida zake
 
yaaani hpo unachunwa tu ..hakuna kingine ..jiongeze mkuu
 
Back
Top Bottom