Kama kawaida kale kaudhaifu ka kutumia mkorogo nae kamempitia japo kitaaluma anatisha
Kama kawaida kale kaudhaifu ka kutumia mkorogo nae kamempitia japo kitaaluma anatisha
Cha ajabu anaweza asipate ajira
Bongo kiboko.. Yan tayari stori za udin zimeingia. JMK oyee
madada ndio wanaopiga GPA kubwa kwa vyuo vyetu hapa Tz, sisi tuliopitia ktk vyuo hivyo tunajua maana yake,na wanatokea ktk hizi course za ajabu ajabu hizi.
Hizi GPA mbwembwe tuuuu,JK ana gentlemen Prezidaaaa,Dangote ana shule ya kawaida sanaaaa,mafanikio kwenye maisha hayawi makubwa kwasababu eti umepata GPA first class
mbona yule mkaka hamumsemei wakat walopata hyo gpa walikuwa wawili
yeah! kwasasabu wengi wanaofanya vizuri darasani kazin wamekuwa ni wabovu sana, mfano halisi ni Dr Asha Rose Migiro.