Dominik Dominik
Member
- Jun 3, 2025
- 94
- 144
kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme.
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?