Taarifa haijakamilika, toa picha yake full na maelezo ya kushiba. Ila kama mnawatesa watoto siku hizi wanapata misaada popote hata kwa nauli ili warudi makwao. Nina ushahidi wa watoto zaidi ya watano wakilalamika wanateswa na watu wanaowatumikia.....na wakichoka huwa wanafikia hatua za kuamua lolote!.....kama kapotea tutasaidiana kumtafuta ila weka taarifa zake kamili, umri wake, ulikuwa unaishi naye wapi?, mara ya mwisho ulimfanyia tukio gani?, kama utakumbuka mavazi aliyovaa, na ametoroka lini?, hiyo picha ni ya hivi karibuni au ya zamani? Maana wengine hujipodoa hadi kubadilika kabisa, na taarifa zingine utakazozikumbuka