NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,273
- 14,524
Atarudi Msijali
ah kumbe ni kutoka kanda ileile wakiolewa wakiwa na miaka10. sembuse huyu blacksuit 16 years,totoz chuchu saa 6 kasorobo.ila atarudi tu kipindi hiki cha sikuku huwa wanaolewa kwa mudaMsaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ana miaka 16 ametoweka ghafla nyumbani yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186![]()
ok poaAtarudi Msijali