kaka usiombe walimu vijana tuna mitihani tena wakipata na namba zako za simu utablow yan full usumbufu wengine wanatumia hadi mama zao na dada zao, mama anakupigia simu usiku anasema mwanangu anataka kuomba ruhusa akichukua simu hiyo ruhusa Sasa inavyoombwa balaa, mbaya zaidi ktk Shule yetu mwalimu wa kike ni HEADMISTRESS tu na yeye Yuko busy Hana muda wa counselling watoto hawana adabu wanaweza kuta mmekaa hata watatu afu anasema mwalimu Flani Nakupenda hata ukimpa adhabu Yuko radhi anasema nafanya coz Nakupenda watoto wa siku hizi acha tu
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj
Napenda nimpe jibu ambalo sitamwathiri kisaikolojia
mwambie akifaulu unamuoa akifeli na wewe unakunywa sumuMimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj
Napenda nimpe jibu ambalo sitamwathiri kisaikolojia
si umesoma education
psychology? wewe ndo uanatakiwa utupe jibu la uhakika kwa kuwa umefundwa
katika eneo hilo. lakini kwa mawaazo yangu, ungemwambia nimekubali
lakini sitokuoa kama hukupata div 1 ya point 7. hivyo ataanza kusoma kwa
bidii kwa kuamini kuwa ili aolewe sharti awe na div. i point saba,
asipoipata amekukosa.