Acha uongo wako bana.Hii tetesi ina ka ukweli,
Mdada akizaa uzao wa kwanza, kama ni mrembo..
Urembo unaongezeka na kama sio mrembo ndiyo anakuwa mrembo..
Lol my miss chagga....sipati picha.
Kumbe bado hujazaa ntakutafuta tuongee ishu moja hivi.Acha nikijifungua ntaleta mrejesho.....
Kuna ukweli katika isee . Kuna mdada mmoja alikuwa figureless kabisa ila kazaa du huwa namwangalia hadi anajistukia naishia kumsifia tu du. Huwa nafauduje kwa macho.