Nilinunua Dyna clipper mpya ya abiria, barabara niliyokuwa nimeipeleka huko Bush ikaleta mtafaruku eti kuna watu wakaanza kusema hawaitaki kwenye njia ile. Aise haikuchukuwa siku mbili gari ikaungua Gaskets gafla, nikiwa naivuta kuipeleka garage jamaa mmoja kaja kuigonga tena gari yangu na board nayo ikabondeka. Yaani biashara ya gari mpaka mwenyewe usimamie kwa karibu, hawapendi cc wa ofc Za umma kwenye industry hiyo utafilisika bure. Maana fitina na figisu kibao. Yaani mkopo unanihuma hadi leo nalipa wkt gari halinilipi.