Msichana ajirusha kutoka ghorofa la saba

Hatari Sana, ukiona mtu anafikia maamuzi hayo wala usimlaumu kabla..
Juzi Nimeibiwa pikipiki yangu msikitin segerea ina siku nne tu toka niinunue.ilikuwa Ndo maisha yangu.Nilipagawa karibu nice. Mpaka sasa cjaiona
Duh.. Pole sana.. Mi mwenyewe nilinunua gari ya biashara ikala mzinga ndani ya mwezi mmoja.. Nilidataje? Paka leo niko juu ya mawe sijasimama tena.. Haya maisha haya!
 
Hatari Sana Mkuu, unaweza pata uchizi wa ghafla. Pole Sana ndugu
 
Napenda vingine vyake si yeye
Comment imenifikirisha hii!
Inafanana na niliyowahi kuisikia kuwa mwanamke anaweza kupenda umbile la mwanaume kwa ajili ya mbegu zake za uzazi tu. Lakini mwanaume huyo ikawa hapendwi kimapenzi! Hii ilivyokaa, inastaajabisha sana.
 
Hatari Sana, ukiona mtu anafikia maamuzi hayo wala usimlaumu kabla..
Juzi Nimeibiwa pikipiki yangu msikitin segerea ina siku nne tu toka niinunue.ilikuwa Ndo maisha yangu.Nilipagawa karibu nice. Mpaka sasa cjaiona

Pole sana, kama ulikata bima ya comprehensive basi fatilia na nyaraka zote za pikipiki kuwa wewe ni mwilini halali na ulilipa vibaya vyote watakulipa pikipiki mpya au wanakupa hela ukanunue nyingine.
 
Hatari Sana, ukiona mtu anafikia maamuzi hayo wala usimlaumu kabla..
Juzi Nimeibiwa pikipiki yangu msikitin segerea ina siku nne tu toka niinunue.ilikuwa Ndo maisha yangu.Nilipagawa karibu nice. Mpaka sasa cjaiona
Pole sana ....
 
Duh.. Pole sana.. Mi mwenyewe nilinunua gari ya biashara ikala mzinga ndani ya mwezi mmoja.. Nilidataje? Paka leo niko juu ya mawe sijasimama tena.. Haya maisha haya!
Nilinunua Dyna clipper mpya ya abiria, barabara niliyokuwa nimeipeleka huko Bush ikaleta mtafaruku eti kuna watu wakaanza kusema hawaitaki kwenye njia ile. Aise haikuchukuwa siku mbili gari ikaungua Gaskets gafla, nikiwa naivuta kuipeleka garage jamaa mmoja kaja kuigonga tena gari yangu na board nayo ikabondeka. Yaani biashara ya gari mpaka mwenyewe usimamie kwa karibu, hawapendi cc wa ofc Za umma kwenye industry hiyo utafilisika bure. Maana fitina na figisu kibao. Yaani mkopo unanihuma hadi leo nalipa wkt gari halinilipi.
 
Back
Top Bottom