msibani

msibani

dream

New Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Mchaga kafiwa na mtoto wake alie zaa na Mwanamke wa kichina,ikabidi wasafirishe toka china hadi kwao moshi..Msiba kufika nyumbani mama mkwe akaanza kulia huku akiongea mimi nilijua tu..maana bidhaa za kichina hazikai muda mrefu..watu wote wakaagua kicheko badala ya kilio
 
hii nilishawahi kuiona ikiwa edited via SMS.
 
Back
Top Bottom