Msibani kwa mama Zari Uganda

Unajua uhuasiano wa Madam Ritha na Zali? Ungekua unaujua usingeshangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wana uhusiano zaidi ya urafiki baada ya zari kuja dar? Au unataka kunambia ni ndugu yake? Namjua ritha tunatokea sehemu moja so hakuna cha zaidi tofauti na urafiki wa hapa mjini.

Ni kwamba madam ritha ana utu amelia maana yupo emotional yaan ukiona mtu analia anawaza yangemkuta yeye inakuwaje. Hata mm nina machozi ya karibu naweza kuona kitu kwenye tv nijikute nishalia machozi balaa .so ndo hivyo hakuna jipya
 
Mtu kama hakumlilia mmewe. Chezea yupo busy kupost insta
Wakati mwingine kwenye misiba yetu watu wanalia sio wanamlilia marehemu bali life without marehemu itakuaje hasa kama anawaacha hawana mbele wala nyuma...msiba ukiwa na support ya watu mbalimbali (jamii) huwa kidogo inatia faraja though kuna situation hasa jeneza linaposhushwa kaburini wengi hushindwa kuvumilia na kuanza kulia
 
Kwani wana uhusiano zaidi ya urafiki baada ya zari kuja dar? Au unataka kunambia ni ndugu yake? Namjua ritha tunatokea sehemu moja so hakuna cha zaidi tofauti na urafiki wa hapa mjini.

Ni kwamba madam ritha ana utu amelia maana yupo emotional yaan ukiona mtu analia anawaza yangemkuta yeye inakuwaje. Hata mm nina machozi ya karibu naweza kuona kitu kwenye tv nijikute nishalia machozi balaa .so ndo hivyo hakuna jipya
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom