Msiba

v4c

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
17
Reaction score
3
Pole sana mkuu. R.I.P our baba!
 
Mkuu poleni sana, RIP Baba. Kuna taratibu gani?
 
Mungu ampe pumziko la milele babaetu..Nanyi awape moyo wa uvumilivu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
pole kwenu, apumzike kwa amani!
 
R.I.P baba yetu, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Inalilahi waina ilaihi rajiuun.
 
Pole sana.... Alazwe pema baba.
 
Pole sana mkuu...Bwana alitoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe
Jipo moyo wa matumaini katika kipindi hiki kigumu kwako
 
Pole sana Mkuu. Mungu awape Amani katika kipindi hiki kigumu.
 
pole sana mkuu.....Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi........
 
Innalillah wainailaih rajiuun, poleni sana ndg na jamaa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…