Chukulia hivi:Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.
Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k
Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :-
> 1a. Binti mjamzito.
> 2a. Mama yake binti mjamzimto.
> 3a. Bibi (Nyanya)
yake binti nae
mjamzimto.
1b. Bibi mimba !
2b. Mama mimba !
3b. Mjukuu mimba !
Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!
Chukulia hivi:
Bibi alipata ujauzito mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16,
Mama wa binti, akapata ujauzito akiwa na umri kama wa Mama yake (bibi), miaka 16,
Mjukuu akipata ujauzito kama umri wa mama na bibi yake, miaka 16.
Basi Bibi atakuwa na umri kati ya miaka 48 na 50 alipochukua ujauzito mwengine, hapo sioni msiba bali furaha kwa sababu bibi bado anayaweza.
kuna workmate wangu alipata mjukuu akiwa 34, sasa imagine huyo mjukuu naye azae akiwa 16?

Kumbe kwenu kupata mimba msiba, makubwa mwenzangu.
kuna workmate wangu alipata mjukuu akiwa 34, sasa imagine huyo mjukuu naye azae akiwa 16?
Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.
Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k
Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :-
> Binti mjamzito.
> Mama yake binti mjamzimto.
> Bibi (Nyanya)
yake binti nae
mjamzimto.
Bibi mimba !
Mama mimba !
Mjukuu mimba !
Huu si ni Msiba ?
Bibi RIP!
una akili sana wewe,ulipotelea wapi @sobhuza?
Kweli msiba. Sipati picha wakijifungua, sijui watajihudumiaje?
itabidi aanze kujifungua mama ili bibi amkande, then anafatia bibi ili mama amkande mana hao wana uzoefu, wa mwisho awe binti ili ahudumiwe na wote,
Daaa.....hii imekaa vibaya, mama kumkanda bibi? Hii si mila yetu kabisa.
mhusika mkuu isije kua mlinzi tu au mchunga mifugoHapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi.